Warning
Repository moved to https://github.com/gomzyakov/achievements
Kuonyesha mafanikio yako kwenye wasifu wako ni hiari kabisa; kwa chaguo msingi, zinaweza kuonekana na mtu yeyote anayetazama wasifu wako wa umma.
Unaweza chagua kuto-onyesha beji za mafanikio katika wasifu wako kwa kuenda kwenye mipangilio ya wasifu.
Beji | Jina | Jinsi ya kuipata |
---|---|---|
Heart On Your Sleeve | Iwapo umejibu chochote kwenye GitHub ukitumia emoji ya β€οΈ (Bado iko Kwenye majaribio) | |
Open Sourcerer | Iwapo una PRs zilizo unganishwa katika hazina au repo nyingi za umma. (Bado iko Kwenye majaribio) | |
Starstruck | Iwapo una hazina au repo ambayo ina Nyota 16 au zaidi. | |
Quickdraw | Iwapo umefunga suala au ombi la kuchangia ndani ya dakika 5 za kufunguliwa. | |
Pair Extraordinaire | Iwapo umekuwa Coauthored mara mbili au zaidi kwenye muunganisho wa ombi la kuchangia. | |
Pull Shark | Iwapo una Ombi mbili la kuchangia zilizo unganishwa (au zaidi). | |
Galaxy Brain | Iwapo un majibu mbili yalio kubaliwa au zaidi. | |
YOLO | Unganisha angalau mojawapo ya ombi la kuchangia bila kuhakikisha msimbo au code. | |
Mdhamini wa Umma | Kudhamini kazi za chanzo wazi au open source kupitia. GitHub Sponsors. | |
Mars 2020 Contributor | Kuchangia msimbo kwenye hazina katika Mars 2020 Helicopter Mission. Kwa sasa mapato yake haipo | |
Arctic Code Vault Contributor | Kuchangia msimbo kwenye hazina katika 2020 GitHub Archive Program. Kwa sasa mapato yake haipo |
Baadhi ya mafanikio hayana toleo la msingi pekee, bali pia vyeo.
Mafanikio | Chaguomsingi | Shaba | Fedha | Dhahabu |
---|---|---|---|---|
Starstruck | ||||
Nyota 16 | Nyota 128 | Nyota 512 | Nyota 4096 @torvalds |
|
Pair Extraordinaire | ||||
ombi la kuchangia 1 @gomzyakov |
ombi la kuchangia 10 | ombi la kuchangia 24 | ombi la kuchangia 48 @Rongronggg9 |
|
Pull Shark | ||||
ombi la kuchangia 2 | ombi la kuchangia 16 | ombi la kuchangia 128 | ombi la kuchangia 1024 @ljharb |
|
Galaxy Brain | ||||
Majibu 2 | Majibu 8 | Majibu 16 | Majibu 32 @ljharb |
|
Heart On Your Sleeve | ||||
??? | ??? | ??? | ??? | |
Open Sourcerer | ||||
??? | ??? | ??? | ??? |
Mwonekano wa mafanikio mengine hutegemea mapendeleo yako ya rangi ya ngozi za emoji
Waweza kubadilisha rangi yako ya Ngozi unayopendelea kwa kwenda kwa: Mipangilio ya Muonekano.
Badge | π | ππ» | ππΌ | ππ½ | ππΎ | ππΏ |
---|---|---|---|---|---|---|
Starstruck | ||||||
Quickdraw |
Beji | Jina | jinsi ya kuifikia |
---|---|---|
Pro | Tumia GitHub Pro | |
Majadiliano Yaliojibiwa | Jibu lako kwa mjadala liweke alama kama jibu | |
Mshiriki Kwenye Programu Msanidi | Unafaa uwe mshiriki kwenye Programu ya Msanidi wa GitHub | |
Mwindaji wa Tuzo ya Kasoro za Usalama | Saidiana kuwinda kasoro za usalama kwenye Usalama wa GitHub | |
Mtaalamu wa Chuo kikuu ya Github | Shiriki katika Programu ya GitHub kwenye Chuo Kikuu | |
Mikopo ya Mashauriano ya Usalama | Je, mawaidha yako ya usalama yaliyo wasilishwa kwa Hifadhidata ya Mawaidha ya GitHub kuwa imekubaliwa |
Ikiwa una maswali au mapendekezo juu ya jinsi ya kuboresha maelezo kwenye ukurasa huu, unaweza kuiandika kwa suala.